OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
HahahahaMshana Jr kaka nilijua unaongelea yale matunda, kumbe haya ya kwa mtini jifunzeni?![]()

Hili ni tunda gani
Papai....Ni tunda la msimu kula tani yako..hakuna shida kiafya lakini kiimani tunafundishwa kuwa na KIASI kwenye kila kitu...Madhara mengine labda kuvimbiwa![]()