Kuna watu wamekua wakitafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Wengine wanaomba scholarship miaka nenda rudi hawapati. Watu hao yawezekana wana elimu na uwezo mzuri ila tu kuna mambo yanasababisha washindwe kupata kazi.
Mambo hayo yaweza kua nje ya uwezo wao lakini pia yaweza kua ni kwa kutojua mambo Fulani kuna masuala ya kujuana, experience na kutokithi vigezo haya sometimes yapo nje ya uwezo wetu japo tunaweza kuyashinda kwa kua makini
Nina uzoefu na kazi ya interview na kikubwa nilichogundua ni kua watu wenye vigezo hukosa kazi kwa Kutojua
1. kuandika CV ikumbukwe CV ni interview ya kwanza kama hujui kuandika , omba msaada kwa mtu mwenye uzoefu mind you, anaweza kua kapata kazi ila hajui kuandaa CV jaribu kuomba msaada kwa interview professionals au HRS wenye experience na hayo mambo..utakuta mtu kajaza page tatu ila hakuna point au hazionekani
2. Cover letter, hii inakamilisha interview ya kwanza hii inasema wakuite au wasikuite kua makini na unachoandika kwenye cover letter.. epuka kuandika marudio ya sehemu zisizo muhimu toka kwenye CV..fucus on your capabilities strength experience in accordance to the need of the employer. Wengi hushindwa kusuka experience zao ziendane na anachotaka muajiri be careful
3. Stess kabla na baada ya interview unajiandaa kiasi gani?? Je ulilalaje?? Unaweza kuitetea CV yako?? Unamfahamu muajiri wako?? Fanya uwezalo kupunguza stress
4. Lack of confidence na jinsi ya kujibu swali inashangaza na unaweza usiamini lakini kuna wakati anaajiriwa mtu aliyeshindwa kujibu swali na akaachwa aliyejibu..Unashangaa huo ndo ukweli
5. Have your decoder in mind ni nani anayekuinterview??? Kijana, mtu wa makamo, mzeee, mwanamke mwanaume .na wewe upo kwenye kundi gani???? Be carefulunajua jinsi ya kuteka akili za interviwer wako???
6. Mavazi wengi hupenda kuvaa suti za garama sana viatu, urembo na mara nyingine hushindwa kujua avae nini ili kuendana na kampuni sikatai ila angalia sana vaa vizuri smart ila isiwe too much..hii huleta maswali, wivu, n.k
Yapo mambo mengi ya kuzingatia ila hayo ni baadhi.. naweza kusema, wengi hukosa kazi si kwa kua hana vigezo bali kwa kutokua na elimu ya hayo mambo hapo juu na mengine.
Nina uhakika watanzania tungejua haya mambo tusingekosa kazi, scholarships, na wala sponsors.