Naweza kusema ambae yamemkuta akiwa kwenye ndoa comment yake itakuwa tofauti na ambae hajaingia na wote hao comments zao zitakuwa tofauti na ambae anasikia sikia yaliyopo kwenye ndoa.
Wadada waache tamaa ya pesa na vitu, waoaji sio wale wenye pesa nyingi na sio wale makapuku.
Ukiona man mmoja na status yake ndogo halafu wewe KE uwe na hela usiwe na hela kikubwa kuwa na heahima.