Umejifunza nini hapa?

Umejifunza nini hapa?

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
Angalia hizi picha
FB_IMG_1588019451102.jpeg
FB_IMG_1588019835363.jpeg
FB_IMG_1588019864891.jpeg
FB_IMG_1588020157892.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejifunza vingi

Picha ya kwanza kabisa inaonesha TV ina-hang bila msaada wa meza, sasa kwa haraka ukiangalia unaweza hisi meza ndio imebeba TV kumbe ni illusion tu

Pili huyo mtu aliyekaa kwenye hicho kiti amevaa mavazi ya chama fulani maarufu, halafu inaonesha kua amechomwa na pua.

Kwaiyo tukianza kulinganisha huyu kiumbe anayeonekana kwa TV tutagundua hana elements za kiutu. Ni dhahiri kua kiumbe hicho ni beberu na ndio maana tunaona maskio na pua ni makubwa

Kwaiyo uki-relate hapa na kujaribu kuunganisha dot utagundua chama fulani kimechomwa na pua ya mmoja wa mabeberu
 
Soma na maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma na maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya kwanza nilikua nafanya mocking

Twende kwenye picha ya pili

Kipengele cha kwanza picha ya pili kinaonesha hofu ya watu ambayo imechukuliwa kama udhaifu ambayo inawafanya washurutishwe kuamrishwa na slave master.

Kipengele cha pili inaonesha huyo slave master akiwaamuru hao wananchi ambao anawa treat kama watumwa kutokana na woga wao. Anajaribu kuwaamrisha kua wapige magoti ishara ya kusujudu na watu wote wanafanya hivyo kwa woga ila anajitokeza mmoja tu akionesha kukataa hiyo amri

Kipengele cha tatu kinaonesha huyo slave master akijaribu kumtisha kwa fimbo huyo aliye disobey hiyo amri lakini jamaa anapatwa na ujasiri na kupinga amri ya slave master kwa mara nyingine. Hapo ndipo watumwa watatu wengine wanaamua kujitosa kunyanyuka kumuunga mkono yule mwenzao huku wengine wakiwa bado na uoga

Kipengele kinachofuata watumwa wote wanapata ujasiri na kujitoa mhanga kwa kusimama na kuwaunga wenzao mkono na kuanza kupingana na yule slave master. Hapo tunaona slave master amepatwa na uoga kiasi cha kuomba msamaha kutokana na umoja na ujasiri walioonesha hao wananchi kua wanaweza hata kumdhuru

Kwaiyo kulingana na umoja na kuondoa dhana ya woga wamejikuta wamekua huru na yule aliyekua slave master amekua mtumwa wao

Na ndio maana wamesema kila mtu angetambua nguvu aliyonayo basi kila kitu kingekua tofauti

Kwaiyo nguvu ya watumwa ni ujasiri na umoja ndio silaha iliyowafanya wawe huru

Naruhusiwa kukosolewa
 
Mpinge jiwe sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom