Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,505
- 9,964
Kwahy una shari nini?
Tunapiga kura kama kawa. Mi 5 tenaUmejiandaaje na siku ya Uchaguzi Tar 29 Oct.
Maana Hakuna mtandao wa simu utafanya kazi.
Utasema unatumia VPN. Ila vpn bila data ni bure. Kwahiyo watazima internet.
Watafinya calls na sms. Kwahiyo call drops zitakuwa za kutosha.
Kwahiyo No internet. Call drops za kutosha . Tigopesa, Mpesa na mitandao ya Bank yote via phone itakuwa chini...
Je wewe Umejiandaaje?.
Ushauri tu.
Uwe na Cash ya kutosha kwa atleast Wiki moja..
Na Hili halihitaji unabii au sijui nimeoteshwa au NRNE.
Na pia sio Prediction bali ni Spoiler.
Wakifanya hivyo ndio wataharibu zaidi. Tukifanya mzaha nchi itaingia kwenye machafuko makubwa mno.
Tangu uzaliwe umewahi kushiriki kwenye machafuko wapi na wapi ?Wakifanya hivyo ndio wataharibu zaidi. Tukifanya mzaha nchi itaingia kwenye machafuko makubwa mno.
Hizi nyakati nazikubali sana, unaweza kumfyekelea mbali adui yako na hamna mtu atajua. This is a double edged sword, watch outUmejiandaaje na siku ya Uchaguzi Tar 29 Oct.
Maana Hakuna mtandao wa simu utafanya kazi.
Utasema unatumia VPN. Ila vpn bila data ni bure. Kwahiyo watazima internet.
Watafinya calls na sms. Kwahiyo call drops zitakuwa za kutosha.
Kwahiyo No internet. Call drops za kutosha . Tigopesa, Mpesa na mitandao ya Bank yote via phone itakuwa chini...
Je wewe Umejiandaaje?.
Ushauri tu.
Uwe na Cash ya kutosha kwa atleast Wiki moja..
Na Hili halihitaji unabii au sijui nimeoteshwa au NRNE.
Na pia sio Prediction bali ni Spoiler.
AhahahHizi nyakati nazikubali sana, unaweza kumfyekelea mbali adui yako na hamna mtu atajua. This is a double edged sword, watch out
πππ Golden chance. Au mdeni wako anaekudaiHizi nyakati nazikubali sana, unaweza kumfyekelea mbali adui yako na hamna mtu atajua. This is a double edged sword, watch out
Mkuu hii ni vita, na "In war, there are no winners, only survivors"Ahahah
Wapi nimesema nitashiriki machafuko?Tangu uzaliwe umewahi kushiriki kwenye machafuko wapi na wapi ?
Kama wanadhani watashinda wanajidanganya, utaenda kuwadhibiti wananchi ukirudi jioni, familia nzima imechinjiliwa mbali kama kukuπππ Golden chance. Au mdeni wako anaekudai
Hatari sanaMkuu hii ni vita, na "In war, there are no winners, only survivors"
Swali la kitoto sana. Tatizo hamsomi historia, Juzi tu 2011 wamisri waliandamana na kusababisha machafuko baada ya serikali kuzima mitandao. Je, unadhani waliplan vipi?Machafuko kwa maandamano au?.
Maandamano mtatakiwa mjiorganise . Kwa sim au kwa group nk. Na mjue mnakutania wap.
Sasa wakizima mtandao. Utajua unaenda wap?.
This is a double edged sword, watch out
Kwa hiyo nchi itaingia kwenye machafuko ila wewe utabaki kama mpenzi mtazamajiWapi nimesema nitashiriki machafuko?