Umejiandaa kupika au kula nini Idi hii?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,104
Reaction score
4,003
Imezoeleka siku za siku kuu watu hula pilau, biriani, chipsi kwa familia nyingi, siku ya sikukuu harufu za vyakula hushabiiana kwa nyumba nyingi kwani wengi hula vyakula vya aina moja.

Ni kama tumekosa ubunigu hivi wa kuonesha utofauti kwenye siku muhimu kama siku za sherehe na sikukuu.

Hebu tujadili umepanga kula nini au kama kawaida pilau kuku na ng'ombe au mbuzi jumlisha kachubali na ka juisi?
 
Tatizo pesa masta, kila siku ni sikukuu ! Usisubiri hadi hizo siku ndio ule pilau ama nyama or whatever!!!

Tufate hela kwa wivu mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…