Umeipenda barabara ipi hapa?

Bavaria sijaelewa kwanini hiyo ya pili waliamua kutengeneza mzunguko hapo, is it just for funy au nikwaajili ya kitu fulani!
 
bolivia ina barabara za milimani balaa....
 
Mkuu ya mlandizi to chalinze pale water table iko juu pale panahitaji hela za kutosha na pia akili ya ziada.Ila hizi za huku ndani ya dar hasa kinondoni wakandarasi wazawa wanatia aibu.

Hata posta kuna mashimo
 
Speechless

Bro,

Don't be! This simply shows you how human imagination is limitless! Hata sisi tunaweza. The only problem is that currently that's not our priority. Naamini umenisoma. Tamaa, ufisadi na first rate incompetence ni sababu mojawapo.
 
Mkuu ya mlandizi to chalinze pale water table iko juu pale panahitaji hela za kutosha na pia akili ya ziada.Ila hizi za huku ndani ya dar hasa kinondoni wakandarasi wazawa wanatia aibu.

Kama ni water table ndo kila mwaka ifanyiwe ukarabati? Tanroads wamekosa njia mbadala tu hamna kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…