Umegundua nini kwenye hizi aya?

Umegundua nini kwenye hizi aya?

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,907
Reaction score
12,196
Naye ndiye Aliyeitandaza ardhi na Akaweka humo majabali na mito. Na katika kila matunda akafanya humo namna mbili (dume na jike). Huufunika usiku juu ya mchana Hakika katika hayo zimo Ishara kwa watu wenye kufikiri.

Na katika Ishara Zake ni umbo la mbingu na ardhi, na hitilafu ya lugha zenu na rangi zenu. Kwa yakini katika hayo zimo Ishara kwa wenye elimu.

Na katika Ishara Zake ni kulala kwenu kwa usiku na mchana, na (pia) kutafuta kwenu fadhili Yake. Hakika katika hayo zimo Ishara kwa watu wanaosikia

Na katika Ishara Zake ni kuwaonyesheni umeme kwa hofu na tumaini, na kuteremsha maji kutoka mawinguni, kwayo Huifufua ardhi baada ya kufa kwake. Bila shaka katika hayo zimo Ishara kwa watu wanaofahamu.

Na katika Ishara Zake ni kuwa Amewaumbieni katika jinsi yenu wake ili mpate utulivu kwao, naye Amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Bila shaka katika hayo zimo Ishara kwa watu wanaofikiri.

Na katika Ishara Zake ni umbo la mbingu na ardhi, na hitilafu ya lugha zenu na rangi zenu. Kwa yakini katika hayo zimo Ishara kwa wenye elimu.

Na katika Ishara Zake ni kulala kwenu kwa usiku na mchana, na (pia) kutafuta kwenu fadhili Yake. Hakika katika hayo zimo Ishara kwa watu wanaosikia.

Na katika Ishara Zake ni kuwaonyesheni umeme kwa hofu na tumaini, na kuteremsha maji kutoka mawinguni, kwayo Huifufua ardhi baada ya kufa kwake. Bila shaka katika hayo zimo Ishara kwa watu wanaofahamu.
 
Hizi aya zinawahusu watu wenye ufahamu tafakari ya hali ya juu sio baadhi ya watu quran inapo sema wenye akili kufili sio akili ya chuo kikuu la bali fikila fahamu akili ya kutokanayo tumboni mwa mama sio muda mrefu watakuja wenye akili ya kulishwa
 
Kabisa
 
Back
Top Bottom