Umefunzwa wapi niongeze?

Hahahaaa huku Jf bana kila mtu ni fundi kitandani....sasa sijui wale wa bao moja hawapo huku..? ukiwaona watag please.
 
Tatizo hapa ni nguvu za kiume hivyo mwanaume akaona ni bora tu ajihami kwa kumjia juu kwamba ni Kahaba ila nguvu za kiume za kutosha zingekuwepo wala asingelalama bali angepiga mzigo kwa uhakika.
Heri ya Mwaka mpya NIMPENDENANI


 
jamaa ni boya ...halafu atajkuja kulaumu mwanamke baadae...atakuwa hayuko romantic pia.....we unaambiwa hivo badala ya kujidai kabisa kidume nahudumia tena eti analeta maadili maadili pambaf
 
Cha jogoo kimekua kitam tena,..perhaps ni ukwel siwez bisha,maana we ndo mwenye experience ya kupigwa mashine,...ila mnatuchanganya,mara mseme mnapenda vya mda mref mara we now unasema unapenda vya mda mfup,..bas sawa kapeace
hawaelewekagi hawa wako tofauuti kabisa
 
Tatizo hapa ni nguvu za kiume hivyo mwanaume akaona ni bora tu ajihami kwa kumjia juu kwamba ni Kahaba ila nguvu za kiume za kutosha zingekuwepo wala asingelalama bali angepiga mzigo kwa uhakika.
Heri ya Mwaka mpya NIMPENDENANI

BAK,Nawewe pia, mime ku miss BAK sanaa,vipi hali yako? mvua mvua hizi umepotelea wapi au ndio una enjoy sauti ya mvua juu ya bati? kama kweli basi nijulishe nikulete mafuta ya Al Oud kwa hali ya hewa hiyo utafurahia harufu yake..
 
Tatizo hapa ni nguvu za kiume hivyo mwanaume akaona ni bora tu ajihami kwa kumjia juu kwamba ni Kahaba ila nguvu za kiume za kutosha zingekuwepo wala asingelalama bali angepiga mzigo kwa uhakika.
Heri ya Mwaka mpya NIMPENDENANI

Kanyimbo katamu,Ahsante mkuu..
 
Reactions: BAK
Mtoa mada upo sahihi. Mapenz ni kuridhishana, mapenz kusemezana na kumwambia mwenzako vile wataka afanye uridhike.

Lakini hizo tatu zina ujazo au hata ya 4 na ya 5 itakuwa nyepesi tu. Kuna wanaume bao moja ni sawa na 3 za huyo mwepesi na hatumwagi mpaka useme asante baba. Sasa hapa 2 lazima uridhike na usingiz wa pono utakuhusu.

Zungumza naye vizuri kama wazungu wanawah mwambie awe anawazuia hadi uone kibo yako. Mapenz with poor communication huwa hayafiki popote.
 
Hapo tu ulimwambia akuongeze, jee ungemwambi Chapati haichomwi upande mmoja si mungemwagikana kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…