Kama povu tayari wewe andaa nguo uziloweke.Linalo wa khusu ujumbe utakua umesha wafikia na wengine washaanza kutoa POVU...
Unapenda kupewa dawa hadi kiwake moto mkuu!![emoji16][emoji16]Apana mkuu ila kuna vitu vyengine vinakera,hela huna sawa basi hata mapenzi pia zero Akaaaah..
Mkuu niseme tu napenda alivyokua fundi na ananijulia..lolUnapenda kupewa dawa hadi kiwake moto mkuu!![emoji16][emoji16]
LOL.Kama povu tayari wewe andaa nguo uziloweke.
Kuna utofauti sana wa upotezaji wa virutubisho na nguvu kwa mwanamke na mwanaume....ni wazi wanaume tutakuja fia vifuani mwenu tukiwaendekeza....siwez enda round tano af mwanamke nakutana nae zaid ya mara moja kwa wikiunaweza kusema hivyo ila na mwanamke nae pia ana part yake,kama kazi yake ni hiyo tuu basi hana faida kua nae.
Hahaaa mi nna kabao kafupi kapeace tuyajenge nini?Mtahisi natania watu wamebarikiwa na bao fupi ni tamu unapata muda wa k kujitengenezea fluid bao ndefu zinachosha na sio tamu kubali au kataa habari ndo hiyo
Kafupi kamoja hakafai labda kafupi mengi hapo njooHahaaa mi nna kabao kafupi kapeace tuyajenge nini?
mkuu wanawake wa aina yako mbona siwapati me ninamkosi gan jaman? au nije inbox please.Heri ya mwaka mpya waungwana..
Wakuu naomba kuuliza hivi unapomwambia mumeo/mpenzi wako unataka mrudie tena kufanya mapenzi baada ya round labda ya pili au ya tatu ni Uhuni au ni kosa?
Kwa mtazamo wangu wangu sio tatizo kama mwenzio haja tosheka, au unatakiwa mwanamme tuu ndio aseme lets do it again akisema mwanamke ni umalaya?
Rafiki yangu alikuja nyumbani new year akanambia mwenzio leo nimeshushuliwa na mpenzi wangu
Kisa nimemwambia mie sijamaliza turudie tena bwana wacha awake " enheee nilikua najua nimepata mke kumbe nimepata Kahaba, mwanamke gani mwenye maadili anaweza kusema turudie"?
Ila kwangu sikuona kosa kama ni mpenzi wako na anataka tena kwanini usimpe?
Jamani baadhi ya wanaume kama hamuwezi kurudia Game semeni sio kujitia mna maadili
sijui heshima sasa hapo mkisaidiwa mtasema mwanamke malaya?
Na huyu mwanamme angekua wa Dar pangekua hapatoshi huyu wa mkoani jamaa hata simmalizi
Au sijui ni ubinafsi hata sielewii, baadhi ya wanaume wenye tabia hii ebu amkeni mnakua wavivu hata kwenye vitu vitamu kula....
Wewe tena love nakujua vizuri sana...Mi Napenda mtu muwazi kwenye izo mambo . vile napendaga hio midude
Sasa tatizo liko wapi?? Si ugwadu tuUnaweza kuta jamaa kapiga round 4 ila mwanamke bado anataka tu kurudia
Ujumbe umemfikia mwa fulani huyooooooooooooooooooooooo.LOL.
Ujumbe umemfikia mwa fulani huyooooooooooooooooooooooo.LOL.
Wewe tena love nakujua vizuri sana...
Vipo vifupi vingi ngoja nipande gar nije.....Kafupi kamoja hakafai labda kafupi mengi hapo njoo
Omba mungu akuepushie hivyo hivyo..mkuu wanawake wa aina yako mbona siwapati me ninamkosi gan jaman? au nije inbox please.
Mkuu hakuombwa bao 5 alisema turudie ile ya kwanza haikumfikisha,5si angemfukuza kabisa au bwana lege lege angekufa ikawa mengine..Kuna utofauti sana wa upotezaji wa virutubisho na nguvu kwa mwanamke na mwanaume....ni wazi wanaume tutakuja fia vifuani mwenu tukiwaendekeza....siwez enda round tano af mwanamke nakutana nae zaid ya mara moja kwa wiki
Halafu ukimuona anavyojitia mtanashati na kumshikia handbag mara kamdokoa sikio kumbe hana hanani ovyoooo tuu..Huyo.mwanaume sio.mzima
Sasa anataka mpz wake akamwambie nani???