Ahmed _ba'juun
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 251
- 203
Hapa nimehic ww ndio umekutana na hili jangaHata ziwe 6 kwani kama mpenzi wako kataka na uwezo unao shida ipo wapi? hela huna basi hata hilo nalo ni tatizo? lol
Naahidi mbele ya umma wa jf, sitoitesa nafsi yako hata siku moja.[emoji23][emoji23]Asante!!!
Kwa nini unitese mtoto wa mwanaume mwenzio lakini!!!
EwaaaNaahidi mbele ya umma wa jf, sitoitesa nafsi yako hata siku moja.[emoji23][emoji23]
Eti haya magoli yanayoongelewa humu we unayaelewa?[emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] darasa la wawili, hebu kuja huku tufundishane!!Sasa hiyo labalatori iko wapi Elii au siku hizi zinafanyika hata kwa darasa!!!
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16] darasa la wawili, hebu kuja huku tufundishane!!
Kama mimi mkuu nauliza tuu dawa au ningekua dawa nimesha ipata zamani sanaa,bila kusahau kwetu pwani ila Alhamdulillah ananitendea haki si haba,mwenyezi mungu aniwekee..Hapa nimehic ww ndio umekutana na hili janga
unaweza kusema hivyo ila na mwanamke nae pia ana part yake,kama kazi yake ni hiyo tuu basi hana faida kua nae.Wanaume tunapoteza vitu vingi sana kwenye lile tendo nyie kazi yenu si kukichanua tuu
mkuu 6 zimekushtua eeh? nimetoa mfano tuu..lolHizi 6 unazikia eeh
mmmmm.Kizazii hiki kita tumalizaa!!!
Apana mkuu ila kuna vitu vyengine vinakera,hela huna sawa basi hata mapenzi pia zero Akaaaah..@nimpendenani kumbe upo vizuri mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni soo aisee, bora moja angelivuta liwe refu at least, foreplay kwa sana.Sikuwa nimejua jamaa kumbe alipiga kamoja tu. Angalau hata viwili kama umechoka
kwani wewe huwez kumtekenya? nanyi acheni uvivu, muwe mnatuandaa na ssWanaume wavivu wanakera, anakutekenya halafu anakuacha ulale, usingizi utatoka wapi sasa
Hapo jamaa amekuwa mkweli lakini, wanaume tupo tofauti sana.Ficha aibu yako basi yaani vitatu ni bora liende hahahahahah aisee
Mkuu sawa utamuandaa mwanamme ila mwisho wa show mfurahi nyote sio yeye bao lake moja usingizii anakoroma mapaka basi,ingekua hajasema hapo sawa lakini kakwambia halafu unasema umejifunzia wapi tabia yakusema huja tosheka huo ni uhuni akaaaaaaaaaaaaaah!!!kwani wewe huwez kumtekenya? nanyi acheni uvivu, muwe mnatuandaa na ss
aiseeh pole sana,,Mkuu sawa utamuandaa mwanamme ila mwisho wa show mfurahi nyote sio yeye bao lake moja usingizii anakoroma mapaka basi,ingekua hajasema hapo sawa lakini kakwambia halafu unasema umejifunzia wapi tabia yakusema huja tosheka huo ni uhuni akaaaaaaaaaaaaaah!!!
Mkuu pole ntaifikisha kwa muhusika..lolaiseeh pole sana,,
kumbe mvivu hata akitekenywa daaah,, ama kweli kwenye miti mingi,,