Umefunzwa wapi niongeze?

Raha ya kutiana ni mwanamke amwage tena amwage afike hadi kwenye unconscious condition asee..
Inapendeza mwanamke unatia ukimaliza unaenda kanda maumivu ya kucha na meno sasa unamwachaje mwanamke hajamaliza pumbavu kabisa.
Nimemuona alivyokuja kumchukua shogangu anavyo jichekesha,moyoni nasema huna lolote mwanamme show off tuu..
 
hahahahaaa huyo jamaa alikua amesha kata wese hapo......awezi kupanda mala mbili...
 
Ninavyoelewa mimi kuna binadamu wa sampuli nyingi sana bibie hasa sisi wanaume. Kuna wale wanaojifanya wastaarabu kwenye kila kitu, kuna wale nusu huku nusu kule, kuna wasiojua chochote halafu kundi la mwisho ni SISI WASHENZI. Changanua hapo
Sasa ustarabu akitaka yeye sawa akitaka mwenzie ni ustarabu? mbinafsi sana au sijui nguvu ndio zinaanza kufikia mwisho..
 
Yale yale ya mke wangu anataka nimnyonye papuchi!
Hata haya husiani wala kufanana,huyu malalamiko yake bao moja sikuile halikumridhisha na mwanamme hata kama umeshindwa kurejea tena haikua na haja yakutafuta sababu yakumtupia mpira mwenzie aseme tuu tutafanya siku nyengine au baadae sio kuongea pumba ili ujisafishe..
 
Hana uwezo probably.
Enhe sasa hapo mkuu unakua na maneno matamu au uliza nikufanyie nini mpenzi ufurahi na wewe,sio maneno makali mdada wawatu anasema naapa kama ntamwambia tenaa huyu kitu,nikasema hapa nanusa harufu ya jamaa kuibiwaaa..
 
Wavulana wa mikoani ni shida tupu, ninasemaga mengi tutayasikia, mwambie aachane na huyo boya, aje kwa vijana wa mjini
 
Tatizo sio kupiga shots tatu au nne per game, yote hayo yanaweza kufanyika na bado mwanamke asifike kileleni mwingine shot moja tu mwanamke karidhika, tujifunze kuwaandaa wake zetu kabla ya game.
 
Wanawake wa siku hizi wamekosa maadili kabisa unawezaje kumuelezea rafiki yako mambo ya unyumba/tendo la ndoa bora tu jando lirudishwe muende jando labda mtajifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…