Heri ya mwaka mpya waungwana..
Wakuu naomba kuuliza hivi unapomwambia mumeo/mpenzi wako unataka mrudie tena kufanya mapenzi baada ya round labda ya pili au ya tatu ni Uhuni au ni kosa?
Kwa mtazamo wangu wangu sio tatizo kama mwenzio haja tosheka, au unatakiwa mwanamme tuu ndio aseme lets do it again akisema mwanamke ni umalaya?
Rafiki yangu alikuja nyumbani new year akanambia mwenzio leo nimeshushuliwa na mpenzi wangu
Kisa nimemwambia mie sijamaliza turudie tena bwana wacha awake " enheee nilikua najua nimepata mke kumbe nimepata Kahaba, mwanamke gani mwenye maadili anaweza kusema turudie"?
Ila kwangu sikuona kosa kama ni mpenzi wako na anataka tena kwanini usimpe?
Jamani baadhi ya wanaume kama hamuwezi kurudia Game semeni sio kujitia mna maadili
sijui heshima sasa hapo mkisaidiwa mtasema mwanamke malaya?
Na huyu mwanamme angekua wa Dar pangekua hapatoshi huyu wa mkoani jamaa hata simmalizi
Au sijui ni ubinafsi hata sielewii, baadhi ya wanaume wenye tabia hii ebu amkeni mnakua wavivu hata kwenye vitu vitamu kula....