Umefiwa na mke na unataka kuoa tena?

mkuu ukipeleka MMU nadhani patafaa zaidi kwa hili tangazo lako
 
Be specific bana...umri is number..wadau wa MMU wanavigezo na mashart weka details...
 
acha kumpoteza mwenzio au unamuonea wivu???

wivu tena! hili bandiko kabla lilikuwa kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko so nilikuwa namshauri mahali sahihi hamna wivu hapa. Nadhan limekuwa moved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…