Lukataluko JF-Expert Member Joined Nov 20, 2017 Posts 1,345 Reaction score 1,573 Mar 15, 2024 #1 Habari za majukumu wakuu, Naomba kuuliza ule mchakato uliokuwa umeanzishwa mwaka 2021 wa uanzishwaji wa halmashauri mpya ya Uyole, uliishia kwenye hatua ipi? Kwa mwenye details zozote hapa jukwaani anijuze tafadhari.
Habari za majukumu wakuu, Naomba kuuliza ule mchakato uliokuwa umeanzishwa mwaka 2021 wa uanzishwaji wa halmashauri mpya ya Uyole, uliishia kwenye hatua ipi? Kwa mwenye details zozote hapa jukwaani anijuze tafadhari.
mkumbwa junior JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 853 Reaction score 1,701 Mar 15, 2024 #2 Ulipata pancha
J Jkalevela JF-Expert Member Joined Nov 14, 2023 Posts 944 Reaction score 1,604 Mar 15, 2024 #3 Litakuwa jambo jema tu
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,710 Reaction score 19,910 Mar 15, 2024 #4 Ulikufa na Mwendazake....kama Chato kuwa Mkoa...
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 15,664 Reaction score 25,847 Mar 15, 2024 #5 Nadhani mamlaka husika zingeulizwa maana humu kuna wengine hawajui kama hiyo Uyole ni eneo la Tanzania
Nadhani mamlaka husika zingeulizwa maana humu kuna wengine hawajui kama hiyo Uyole ni eneo la Tanzania