Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,856
- 7,059
Leo niko na issue ya kawaida tuu, tumezoea kusikia mti akisema mtu mwenyewe una sura ya baba au unajifanya mrembo huku sura ya baba. Au mtu anaambiwa na wenzie kwa kejeli, unatusumbua tuu hapa una sura ya mama na vitu kama hivyo.
Nimejiuliza tuu, sura ya kike ni ipi na ya kiume ni ipi? Au tumecremisha mwanaume ndo mbaya na mzuri ni mwanamke?
Usisahau ahadi ni deni. Zawadi yangu kwako ni mtoto wetu atafanana na mimi. Sitaki uwe unanimisi wakati kopi yangu iko pembeni yakoAahahahahahahhahahahaaaa
Siku zote hukosi vituko babu, kiukweli nimekumiss mnoo.
Wiki ijayo ntakuwa daslamu japo ratiba imebana ila Rodizo itahusika.
Kutoa fotokopi ndo fani yangu...Aahahahahahahahaaaa babuuu ODM....
Mmmuuaahhh, umenifanya nimkumbuke babu Dark City aka DC
Nasubiria kwa hamu kazi ya kutoa fotokopi hehehehehhe.
Kutoa fotokopi ndo fani yangu...
Ukishagonga amarula yako nami nikagonga Black label... mvua ikiwa inanyesha nje huku tukiwa tunasikiliza mziki wa Celine Dion... kwanini fotokopi isitokee??
Hadi nimesisimka babuu baada ya kuvuta taswira ya maneno yako....
Mvua...
Amarula....
Black label...
Fotokopi.
Isipotoka kutakuwa na mkono wa mtu aiseeh.
See you next week babuu.
Aaaah watu wasijulikan haoIpo hiyo inaitwa new hybrid in family.
Kwann umejuajeMe nahisi nimefanana na baba'ngu kwa vyovyote.