Umeelewa?

hiyo ni maana nyingine ya intel inside ya kichina
 
Mi naona kama jamaa alitaka ku-scan ku-print kitu kutoka kwenye ipad
 
Imo , anamaanisha hakuna kukopi, no copying
 
Hapa ni kuonyesha kuwa hairuhusiwi ua haiwezekani kutengeneza computer fake za mac
 
hivi wataalamu mnielewesha kama kama kuna hp laserjet ya Apple?
 
mashine ina miali/mionzi ya hatari hivyo usitoe photocopy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…