DEVUQUARTER-DEVUKOTA JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 352 Reaction score 117 Jun 14, 2013 #21 FP said: hivi ikiwa kilaza ni wa kudumu? hakuna ninachoelewa, naona ma-folder tu Click to expand... Hapo lazima uchoke mwanakwetu mi folder yote hiyo inachosha, kwanza ukifika kwenye lile lililoandikwa infected lazima urudi nyuma Krapka Davinooooooo!!!!
FP said: hivi ikiwa kilaza ni wa kudumu? hakuna ninachoelewa, naona ma-folder tu Click to expand... Hapo lazima uchoke mwanakwetu mi folder yote hiyo inachosha, kwanza ukifika kwenye lile lililoandikwa infected lazima urudi nyuma Krapka Davinooooooo!!!!
DEVUQUARTER-DEVUKOTA JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 352 Reaction score 117 Jun 14, 2013 #22 C6 said: enzi hizo kulikuwa hakuna bitlocker, si unaona windows yenyewe ni ipi Click to expand... Xp mania kaka lakini folder lock si zilikuwepo
C6 said: enzi hizo kulikuwa hakuna bitlocker, si unaona windows yenyewe ni ipi Click to expand... Xp mania kaka lakini folder lock si zilikuwepo
Blaine JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 2,259 Reaction score 1,657 Jun 15, 2013 #23 C6 said: ivi we ni ndugu yake Boflo? Click to expand... no!! what would make you think that? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Jun 15, 2013 #24 Asprin said: Sie tuliotumia Four Figures kukokotoa mahesabu utalinganisha na kizazi cha scientific calculator? Click to expand... pole zako babu asprin
Asprin said: Sie tuliotumia Four Figures kukokotoa mahesabu utalinganisha na kizazi cha scientific calculator? Click to expand... pole zako babu asprin
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Jun 15, 2013 #25 Blaine said: no!! what would make you think that? Click to expand... mmefanana mambo mengi na Bofloooo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Blaine said: no!! what would make you think that? Click to expand... mmefanana mambo mengi na Bofloooo
Blaine JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 2,259 Reaction score 1,657 Jun 15, 2013 #26 C6 said: mmefanana mambo mengi na Bofloooo Click to expand... i hope tumefanana kwa mazuri then because i'm a good boy 🙂
C6 said: mmefanana mambo mengi na Bofloooo Click to expand... i hope tumefanana kwa mazuri then because i'm a good boy 🙂
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Jun 15, 2013 #27 FP said: oh! haya Click to expand... oohh jamani sijui nikufahamishe,sema nitamwaga mchele kwenye kukuu wengi,labda nikupm hehehheeh!!
FP said: oh! haya Click to expand... oohh jamani sijui nikufahamishe,sema nitamwaga mchele kwenye kukuu wengi,labda nikupm hehehheeh!!
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,045 Jun 15, 2013 #28 Mi naona kichina tu hapo.
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Jun 17, 2013 #29 hahahahaha, Kambaku, Busted! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Jun 17, 2013 #30 Yaani unaficha folder hadi unajifichia mwenyewe tena, siku unalitaka hulioni.