Umeelewa nn??

Sijaelewa kitu wewe umeelewa nini hapo? Tupe na 4figure
 
hivi ikiwa kilaza ni wa kudumu?
hakuna ninachoelewa, naona ma-folder tu

hapo wanaelewa vijana hasa wanaotumia sana kompyuta na wanaopitia jukwaala wakubwa
 
I see, naona folder la movies limefichwa ndani ya ma folder mengine mbali sana (kama nitakuwa nimelelewa vibaya)
 
hapa n zle movie znazofanya usiku uwe mfupi!
 
Duh... jamaa kaficha folder la movie za chapati kwa chai, pilau kwa nyama ila ukiweka avafind au software zingine zenye miwani ya darubini zinatifua kila kitu hapo si bora uzifungie kwenye bitlocker Driver encryption.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…