Umeelewa nini kwenye hii picha??

stardust JK

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
2,975
4,207
Kuna funzo hapa!!
FB_IMG_15615369562450802.jpg
 
Kwahyo no 1 na shite IPO ck watakuwa hvyo alfu jmaa watawacheka hihiiiiiii
 
Bila Shaka huyu Simba atakua ameukwaa, mpango wa ARV unamuhusu
 
Huyo simba ana njaa sana pia ana uhakika hana la kumfanya mnyama yeyote hata kama huyo mnyama ni dhaifu kwake

Somo hapo siku za ujana wako jitahidi kuwekeza katika maisha kadri ya uwezo wako vinginevyo yatakuja kukupata kama ya bw lion hpo juu
 
ni vizuri kutumia wakati ulinao maana kuna muda nguvu , ulizonazo , umarufu ulionao utapotea, ukipata chansi katika maisha itumie vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom