Umepiga pentagon.Merkel ni mchumba wa Obama, ila design Merkel anajitongozesha kwa mbabe Putin na Obama kama anasikilizia hivi.
Hahahaha bonge la mchoro.
German yuko na Marekani kinafiki dhidi ya Russia.
Merkel: Kwa swaga zako Putin mi nakuzimii
PUTIN: Msiniletee ukameron hapa ntawapa za chembe.