Hahahahhaa looh hatari hii, hapo kitu ambacho sijakielewa ni hicho kilichopo chini ya meno....
Aaahahahahahhahahahahahaaa looh wanawake wanakazi. ... nasema hivo maana mie nimejiengua.
Kika kitu nlichozaliwa nacho bado nnacho. Tangu mwaka huu uanze nimeacha kunywa nyusi bali nazichana kiasi kwamba zinakaa vizuri tuu.
Nikifanikiwa kuacha kupaka rangi za jell ntakuwa pure nachurali.
Ukihesabu kwa mwaka huwa navaa wigi au kusuka rasta miezi 2 hadi 3. Kipindi kingine chote nakuwa na ni kipilipili changu huria. Msimuige Kasie ni kizee bin kigagula tayari hawezi kwenda na fashioooni.
Hicho kilichopo chini ya meno ni nini sijakielewa.... aliekielewa anifahamishe tafadhali.