umeelewa nin katika picha hii???

umeelewa nin katika picha hii???

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,314
boyz vs Girls
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1366010798639.jpg
    uploadfromtaptalk1366010798639.jpg
    5.1 KB · Views: 356
kitu kama iyo.....nipe nikupe si ndio mtindo wa sasa!..ama nini
 
Is that a picture or an illustration?
 
Hapo neno NAKUPENDA ni kujazia nyama tu,ila kila mmoja anakitu anachokihitaji toka kwa mwenzie....
 
Kuna mwanamke nlikua nae mwanzo wa uhusiano wetu alikuwa anasema hapendi pesa kbs kwa mwanaume,eti yeye anapendaga kweli na kiukweli hakuwai kuniomba pesa ,kumbe alikua anafanya uchunguzi wa kipato changu cku ya cku alianza minzinga hadi nikakimbia
 
hahahaahaaahaaahaaaa..... ni nouma umetisha kwel,,.... siku hiz no love but give money,given sex:rockon:
 
Kuna mwanamke nlikua nae mwanzo wa uhusiano wetu alikuwa anasema hapendi pesa kbs kwa mwanaume,eti yeye anapendaga kweli na kiukweli hakuwai kuniomba pesa ,kumbe alikua anafanya uchunguzi wa kipato changu cku ya cku alianza minzinga hadi nikakimbia

hahaha,1st tym mzinga ulikuwa wa shs ngapi?
 
hehehehehe,mkuu yamekukuta nini?

We huwafahamu watoto wa kibongo wanavyopenda vibomu? Unachat na mt for the first time message ya kwanza tu unasikia oo, naomba laki; mara oo, naomba nitumie tiketi ya ndege niko Moshi; oo, naomba elfu hamsini...... Nyambafu!
 
me yamenikuta juzi nikaamua nijiweke pembeni
 
Kuna mwanamke nlikua nae mwanzo wa uhusiano wetu alikuwa anasema hapendi pesa kbs kwa mwanaume,eti yeye anapendaga kweli na kiukweli hakuwai kuniomba pesa ,kumbe alikua anafanya uchunguzi wa kipato changu cku ya cku alianza minzinga hadi nikakimbia

da pole mtu mzima!...mi mwenyewe kuna mmoja aliniuliza nina wadogo wangapi nikamwambia watatu na wote wanasoma.....akamaindi kisa eti namtangazia majukumu mapema kama njia ya kujihami...sasa nikamuuliza ulitaka nikudanganye?:smile-big:
 
Back
Top Bottom