Umechelewa kuleta posa

Wonders shall never end. Mi.nahisi ungekuwa unampenda haswa haya mambo ya posa yasingezingua ungemchukua juu kwa juu na mimba juu (kama una uwezo wa kumpa) kisha tuone hiyo deadline yao wangempa nani?

Cc Evelyn Salt Ennie

Hakuna aliyempenda mwenzie hapo!!!
 


hongera, huko kwingine mi sijapaona..
 
Kuachana sio kirahisi rahisi kama mnavodhani,
we jamaa kama unampenda mpe mimba ndo watajua umewahi au umechelewa
otherwise uwe nawe humuhitaji tena
huyo ni mwanamke sio biashara ya kiwanja

Unajuaje kama huyo dada hana mimba tayari? Maana hiyo kauli yao ni kiashiria tosha kwamba binti wao ni either ameshapigwa mimba au kulipowa posa na mtu mwingine.
 

mdau wala usijali,,,,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…