Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

Nimeona ni vyema kuwe na uzi kwa ajili ya watu waliopangiwa post mbali mbali kujua wenzao wengine walipangiwa sehemu moja na pengine muanze kuwasiliana kabisa. Karibu!

Wewe umepangiwa wapi mana watoto wa Madam Urasa wengi wapo UDSM na UDOM
 
ST.JONH'S UNIVERSITY OF TANZANIA Bachelor of Accounting and Finance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom