jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Wewe ulianza mapenzi mwaka gan?,,binafsi nilianza mwaka 2007 nikiwa la saba wewe je?
La tatu ,mzee ulikua unajua nn unafanya?Mm mwaka 2005 nikiwa la Tatu
Safi sanamimi sijaanza
Mm mwaka 2005 nikiwa la Tatu
niceLast week tu
Itakua memkwa maana sio kwa darasa la tatuMemkwa?
Mwaka 1967
Shikamoo babaMwaka 1967
Na huyo ulienae ama nin?Natarajia kuanza soon
We ni kama @Nyaningabu umeanza 1967?Duuuh watoto wengi humu 2007 ndo la saba?? Basi sio kosa lako kuanzisha thread kama hiz
Mimi ndo hata sielewi mnazungumzia nini