tehe...ila mida mibaya hii...either mechi ndio imeisha au soon picha linaanza!
ina raha yake
unakuwa hauna aibu
afu saa 9, kuko kimya
konsentrasheni inakuwa kubwa
Hii inatokana na kunywa mataputapu,ukinywa vitu kama Miller G.D hauwi na vimbwanga vya namna hii.
Kumekucha... natumaini mlirudi salama.... na hamkusumbua familia zenu...
Dah inamaana hz 3 zilizobaki niache.?
WaliNazi ndiyo nanenane hii mida ya hao jamaa kurudi wanapepesuka!
yamekukuta nini Bagah..!? Share nasi tujifunze...
Pombe noomaaa..
huu urafiki wa Nitty, bagah na walinazi mbona siuelewi?
Mnanitisha mtoto wa mwenzenu, kila saa mko wote.
huu urafiki wa Nitty, bagah na walinazi mbona siuelewi?
Mnanitisha mtoto wa mwenzenu, kila saa mko wote.