duh . . .
Mie leo nataka nikamuusie mke wangu
anapika mboga ina chumvi sana.
Nikirudi saa 9, naanzisha kikao nyumba nzima.
...very....
...stop that....p'se.
...hakuna chakula kizuri kama "WALINAZI"... hapa wengi watakubali..
Tuachane na hayo... Get back to the TOPIC...
...aibu kwa NANI kongosho...!!
Nenda nyumbani... NOW.
Daaah! Home kuna wali maharage.. Weitaaaa, wani fou ze looud pliiiz..
hivi ujuwe wali nazi ni mtamu sana?
wapo... wanaipotezea.... msg itawakuta hukohko waliko..........