Ume gundua nini kwenye hii picha?

Ume gundua nini kwenye hii picha?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Hebu cheki hii
 

Attachments

  • 1417971049292.jpg
    1417971049292.jpg
    29.1 KB · Views: 1,305
Mchungi na kondoo, nyasi, miti, nyumva mbili za nyasi na SURA YA MTU.
 
Na kuna mtaibo wa basikeli ila tafsi yake ndo nashindwa kutaja na mwenye macho hambiwi tazama ni kutafakuru tu hivo vitu vya mchungaji
 
nimeona "kipara" sjui ndio mawingu yale!
 
Nimeona
1)Sura ya mtu mwenye ndevu nyeupe
2)Mtoto ameketi chini
3)Kondoo
4)Nyumba mbili(macho ya Babu )
5)Nyasi
6)miti
7)Jiwe
8)........(muunganiko wa kichwa cha mtoto anayechunga kondoo na mti pembeni yake)
 
Back
Top Bottom