Inashangaza kwa kweli kwa nchi kubwa kama Tanzania inayo sifika kwa amani utulivu na upendo na vitu vingine vingi ila kwenye usafitu ndo tumefeli,eti jiji kuu kama dar halifanyiwi usafi wa uhakika mpaka wageni waje kweli..kweli!!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.