L Luluka JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 624 Reaction score 161 Jul 17, 2012 #21 zomba said: Hoyaa, vipi mnada wa kuuza GT ulifanyika? Click to expand... usiseme "hoyaa" ni "oyaa"!au ushakuwa mbabu?
zomba said: Hoyaa, vipi mnada wa kuuza GT ulifanyika? Click to expand... usiseme "hoyaa" ni "oyaa"!au ushakuwa mbabu?
Ndukidi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 1,500 Reaction score 1,303 Jul 17, 2012 #22 St. Paka Mweusi said: Mkuu @Allien hawa wote cha mtoto kama unasafiri njia ya kati basi jaribu kusimama Dodoma stendi ya malori kuna binti anaitwa namba saba ukimkosa hapo nakuhakikishia atakuwa Bahi,siku utakayomuona huyo utakubali ninayosema... Click to expand... Mzee kama vipi njoo chemba niko Dom leo, yaani naona hii ni bahati yangu nielezee zaidi mambo ya namba saba nimtafute bana!!
St. Paka Mweusi said: Mkuu @Allien hawa wote cha mtoto kama unasafiri njia ya kati basi jaribu kusimama Dodoma stendi ya malori kuna binti anaitwa namba saba ukimkosa hapo nakuhakikishia atakuwa Bahi,siku utakayomuona huyo utakubali ninayosema... Click to expand... Mzee kama vipi njoo chemba niko Dom leo, yaani naona hii ni bahati yangu nielezee zaidi mambo ya namba saba nimtafute bana!!
conveter Senior Member Joined Jun 6, 2012 Posts 119 Reaction score 16 Jul 17, 2012 #23 zomba said: Ndio nini? upuuzi mtupu. Click to expand... Why so negative?:attention:
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,338 Reaction score 111,579 Jul 17, 2012 #24 Huyo umbo namba 8 ananichanganya, Kusema kweli mi nampenda sana, .......................................... ..........................................
Huyo umbo namba 8 ananichanganya, Kusema kweli mi nampenda sana, .......................................... ..........................................
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Jul 17, 2012 #25 Gwangambo said: Duuuh! Huyo wa hapo juu, ndio umbo na. 8. Ila anasura kaa WP- Women Police. Huyo mpe Boflooooooo! Click to expand... mkuu hayo matusi sasa hujui wengine wake zetu ni ma WP. na niwazuri acha hizo bana!
Gwangambo said: Duuuh! Huyo wa hapo juu, ndio umbo na. 8. Ila anasura kaa WP- Women Police. Huyo mpe Boflooooooo! Click to expand... mkuu hayo matusi sasa hujui wengine wake zetu ni ma WP. na niwazuri acha hizo bana!
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,326 Reaction score 7,807 Jul 17, 2012 #26 gfsonwin said: naomba tu nisiseme kitu............. Click to expand... Hahahaha, dada'ngu we pita tu hapa., mi kuna mtu namsubiri.
gfsonwin said: naomba tu nisiseme kitu............. Click to expand... Hahahaha, dada'ngu we pita tu hapa., mi kuna mtu namsubiri.
G GTesha Senior Member Joined Jun 10, 2012 Posts 199 Reaction score 45 Jul 17, 2012 #27 mwanamke nyonga jamani ****** hata mwanaume anayo