Kumbuka ni wachache wanapata hzo piaSometimes ni kweli,ukiwa kitaa upo huru ni nguvu zako tu unaweza piga mpaka 50,000 kwa siku
Ingawaje watumishi wana uhakika wa maisha iwe mvua iwe jua
Na kabima uchwara nako kanawabeba
Ukichukua idadi ya watumishi na watu wa kitaa,ipi idadi kubwa wanaoingiza 50,000 kwa sikuKumbuka ni wachache wanapata hzo pia
Huyo nesi yupo kwenye dispensary za watu?Huu ni ukweli mchungu Sana Ila wavivu wataukataa
Ukweli ni kwamba hakuna Uhuru wa kipato serikalini labda uwe jambazi mwizi na Fisadi
Ila kwenye middle class na low class job hakuna maisha ni stress Kuna nesi namjua ana diploma anapeleka home 210k per month ni single Mather ananuka shida na madeni
Ajira ni Siri kubwa Sana na ni mipango ya mabepari kuendelea kuwa matajiri wao!!
Imagine doctor mwenye mshahara wa 1.5 million anaenda home na 800k kila mwezi akichukua mkopo ataenda na 500k huu ni ujinga na utoto kwa mtu ambaye anatakiwa kuwa vizuri mentally ili atibu wangonjwa Ila unakuta yeye ndiye anaumwa!!
Ajira ni utumwa Kama wewe ni mtuwadilifu!!!
Njoo uangalie wakulima wa jembe la Mkono Hapa Kilwa ndio utaheshimu watumishi wa umma.Habari Wana JF
Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha Yao wamejawa na stress hatari wanajutia kujingiza katika utumwa,wanajutia kuwa wavivu wakufikiri,wanajutia kupoteza muda wakusoma, wamebakiza mdaa mchache wakuchanganyikiwa tuu .
Huwez niambia mtumishi wa umma unamlipa laki tano nabado anamakato kibao huyumtuu anaishije hatakama Hana familia anaishije.
-hajalipa kodi
-hajatoa nauli
-Hajala
-Hajavaa
Vijana pambaneni msijisumbue na ajira hamna maisha yeyote nistress tuu huyu mtumishi unaemuona mtaani ukicalculate mshahara wake per day ikizidi sana anapata 13000-14000 usimuone anavaa vizuri nimikopo ndioinambeba
Pambaneni na vijiwe vya chips mtatoboa,endesha hata toyo utatoboa serikalini unapewa tuu ela yakula basi.
Usipo jituma utatumiwa
πππ
Hakuna Mwadilifu aliyejiajiri akapata uhuru.....Big No.Ajira ni utumwa Kama wewe ni mtuwadilifu!!!
HeheheMmmmh hapa naona tunapangana
Hiyo idadi unayosema kumbuka Kuna watumishi humo ndani yake wametoa hiyo ajira kwa vijana wa kitaa.Ukichukua idadi ya watumishi na watu wa kitaa,ipi idadi kubwa wanaoingiza 50,000 kwa siku
Kwangu mimi nitakuambia watu wa kitaa ni wengi sana wanaoingiza hyo hela ukilinganisha na watumishi