Mkuu umasikini hauwezi kukunyima mke..ila utakunyima mademu ..
Kam ni mke unamtafuta utampata kwa hali yako iyo iyo ya umasikini.
Lakin kama ni mademu utawakosa tu..maana hela huna ya kuwahonga...
Jaribu tu kupambana na hali yako mkuu. Utatoboa..
Sent using
Jamii Forums mobile app