DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,372
- 83,386
Utajiri ni mind game, umaskini ni mind game, play on your side.Wakuu,,
Umasikini ni sawa na Ukimwi, fungus, kaswende au Ebola au ugonjwa wa kuambukizwa.
Umasikini unaambukizwa kuweni makini. Kama wewe ni masikini kamwe usifungamane na masikini wala kuoa masikini maana mtaambukizana upele tena kama ni mwanaume utakuwa masikini mara mbili kama tujuavyo wakwe wa mke watakuwa wanakuangalia na wazazi wako na ndugu zako pia.
Tuwe makini, tujikinge na mahusiano tunayoanzisha au tunaooa au kukutana na kushinda nao.
Ni hayo tu kwa leo
Hii kali aisee😃😃Kuwa na baba maskini ni mpango wa Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni mpango wako binafsi.
Hii ni mada uliyoichukulia kirahisi bila kushirikisha kichwa. Ratio ya maskini na matajiri ni ngapi?
Maskini mara nyingi huwa wanaoana na maskini wenzao. Sasa wewe so called "tajiri" unaogopa kuwa na maskini au kuoa maskini basi utajiri wako sio utajiri bali ni uwezo tu wa kula milo 3 kwa siku.
Tajiri hawezi kuwa na wasiwasi na kuwasaidia upande wa wakwe zake na ukiona una ubahili huo basi wewe sio tajiri ni mbadilisha mboga tu.
I wish ungejua ukweli na sio assumption.haya ndo mawazo ya masikini
Uchumi wao wa kawaida tu...huyo mtoto wa bakhresa kaoa ktk familia ya kawaida tu pale ilala mtaa wa kigoma. Na wao ndio wamezinyanyua familia za wakwe zao..acha ubinafsiMatajiri ni wabahili kuliko sisi maskini. Na wapo makini kwenye swala la kuoa kweli kweli
Nenda katazame watoto wa Bakhressa wake zao walipooa uchumi wa kwao ukoje
Uzi ufungwe!Hii ni mada uliyoichukulia kirahisi bila kushirikisha kichwa. Ratio ya maskini na matajiri ni ngapi?
Maskini mara nyingi huwa wanaoana na maskini wenzao. Sasa wewe so called "tajiri" unaogopa kuwa na maskini au kuoa maskini basi utajiri wako sio utajiri bali ni uwezo tu wa kula milo 3 kwa siku.
Tajiri hawezi kuwa na wasiwasi na kuwasaidia upande wa wakwe zake na ukiona una ubahili huo basi wewe sio tajiri ni mbadilisha mboga tu.
FactHii ni mada uliyoichukulia kirahisi bila kushirikisha kichwa. Ratio ya maskini na matajiri ni ngapi?
Maskini mara nyingi huwa wanaoana na maskini wenzao. Sasa wewe so called "tajiri" unaogopa kuwa na maskini au kuoa maskini basi utajiri wako sio utajiri bali ni uwezo tu wa kula milo 3 kwa siku.
Tajiri hawezi kuwa na wasiwasi na kuwasaidia upande wa wakwe zake na ukiona una ubahili huo basi wewe sio tajiri ni mbadilisha mboga tu.
Nini faida au raha ya kuwa na hela halafu hutaki kuzitumia kusaidia watu. Kuna age mwanadamu ukiifika basi unauona huu ulimwengu si chochote si lolote na furaha halisi ya mali ipo katika kuleta furaha kwa watu maskini na mafukara.