Wewe pambana tu ila ukishavipata vyote let say una kila kitu pesa kwako sio tatizo tena uko kwenye surplus cash unajikuta na pressure, sukari, uric acid hapo mavyakula huli sio kwamba huna maradhi yanakuzuia. Dunia ni ubatili mtupuWAKUU. NAJUA TAJIRI HAWEZI FUNGUA HUU UZI.
Wapambanaji tusichoke. One day tutachomoka. Hata kama hatutaishi sisi maisha mazuri, basi wa nyuma yetu tutawaandalia maisha flani hivi.
Yaani itafika siku tunaamua leo tule nyama, samaki, mazaga zaga kibao sio kila siku kabeji.
One day YES wakuu.
UMASIKINI SIO KITU CHEMA.
Bakhresa ana magonjwa yote hayo.Wewe pambana tu ila ukishavipata vyote let say una kila kitu pesa kwako sio tatizo tena uko kwenye surplus cash unajikuta na pressure, sukari, uric acid hapo mavyakula huli sio kwamba huna maradhi yanakuzuia. Dunia ni ubatili mtupu
Kwahiyo km Bakhresa hana unapambana ili ule manyama???Bakhresa ana magonjwa yote hayo.
Kwahiyo km Bakhresa hana unapambana ili ule
Kwani ni kinyume na sheriamanyama???
Dah! Kivipi KakaMkubwa?Bora umaskini kuliko unyonge
Yote ni matokeo tu bossuntembea porini usiku kumbuka pia kuna Chatu masikini nayeye anamuomba Mungu apate msosi na wewe ndio msosi aliyebarikiwa, sasa wewe unahisi umasikini umekuamsha saa 11 kumbe Dua la chatu.
Ni kinyume cha sheria.Asee tuna kizazi very greedy, kila MTU anataka awe tajiri!