Umasikini ndio Ugonjwa Mbaya kuliko yote Duniani

Anataka kuhamisha topic na kuipeleka kwenye udini. .Sijui huwa ana matatizo gani huyo
Acha kubadilisha maana ya neno masikini ili watu wakuonee huruma pamoja na wafuasi wenzako.

Masikini huwa haurumiwi bali hudharauliwa.
 
Aiseeeee...kabisa..!!
 
Tunategemeana mkuu tajiri anamtegemea masikini ili aweze kufanikisha mambo ya na masikin anamtegemea tajiri ili kufanikisha mambo yake,na haiwezekani watu wote wakawa matajiri kila mtu amezaliwa na bahati yake kuna mtu hata umpe 100ml baada ya miezi mitatu utamkuta hana hata mia.
 
Umeongea point boss,, ila ikumbukwe kwamba umaskin si ugonjwa wala laana kama inavo ongelewa mama mada zinazo husu umaskini naona zinajiongeza kwa wingi hapa JF,, bin adam wengi tunafeli kwa kujua kwamba alie nacho ndie anae pendwa na Mungu na asie nacho ndie adui ao labda anaecukiwa na Mungu,,,, tufanye kazi kwa bidi na tukumbuke kwamba Mungu humpa amtakae na wewe ulonacho leo usifkri kwamba Wewe ni kipenzi namba 1 wa Mungu na maskini ajuwe kwamba kuto kupata wala kuwa kwake maskini si kwamba Mungu anamchukia hamna ni mtihani tuu!!!?
 
Unataka au-zungumziaje...? Maisha kwanza Yana Anza na wewe- kisha ndio Yana fuata kwa watu wengine ' Mke/Mtoto/watoto ..hawa-wezi kuwa mbadala wa Thamani ya Utu wako - Hivyo basi inapotokea ukakasa uwezo wa kuwa na familiar haimaanishi kwamba haupaswi kuwa na Hali nzuri/bora kiuchumi ' kwa sababu bado utakuwa una hitaji kutatua changamoto nyingi zinazo husu mahitaji yako na masuala mbali katika maisha '

mfano wa weza kusingiziwa kesi lakini kwakuwa huna pesa utakosa wakili mzuri wa kumuajiri ili akutetee na hatimae Utafungwa Jela - ........... '
Kuna jamaa mmoja ni tajiri sana, lakini hana mtoto wala familia.. Yaani mke wala watoto. Unamzungumziaje huyu?
 
Umasikini ni mbaya lakini una tiba. Nayo ni kufanya kazini kwa akili na nguvu zotevna kutumia pato lako kwa uangalifu. Kuna hali humganda mtu na kushindw kutenda kazi, kama magonjwa au ulemavu, hapo jamii hubidi iingilie. Japo ubinafsi umezidi na mwenye cha kuzidi kushindwa kusaidia.
 
Nimecheka sana, watu mna maneno namba 5 na hiyo nyongeza zimenichekesha kama mazuri vile
 
Uko sahihi sana kiongozi, nina mifano mingi
 
Huu usemi kuwa, masikini na watoto wake, tajiri na mali yake una maana gani? Msaada taf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…