Umasikini mkali: Mwenyekiti wa Kijiji avaa shati lililochanika, January Makamba avua lake na kumpa

Maana kalitolea kwenye Gari lake....CCM tupeni majibu maana najua mnanyo
 
Wengi gari ni kama nyumba ndogo,nguo za maziezi,sandoz za kwendea masafa mafupi ni kawaida.
 
Badala ya kumfundisha kuvua samaki, wewe unampatia akale - akimaliza atakufuata tena akitaka samaki mwingine.
 
Back
Top Bottom