Mimi mwenyewe nlivoambiwa kuhusu uhitaji wake wakuoa nkaona ni ujinga. Nlivompigia majibu alonipa niyakuleteana lawama badae. Anasema hatakuwa salama kungoja kwan magonjwa ni mengi. Sasa mtu akiingia huko inabidi umuache manake yakitokea kama alivosema lawama kwa wengine kwa kumkataza.