Kijana Mzeeeh
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 295
- 324
Hii ni kweli kabisa mwanamke akishakuona huna option zaidi ya yeye jiandae kunyanyasika. Na kwa uzoefu wangu, ukiwa na mwanamke mmoja hofu ya kumpoteza inakuwa kubwa na akiamua kukutingishia kiberiti unaweza omba msamaha ata kama hujakosa lolote.Kwa sababu demu mmoja akishagundua unampenda na yuko peke ake basi ataanza kujiamini na kukuletea vituko kibao vya kukupa stress kwa kujua huna pa kwenda kupunguzia nyege zako,hata kama huna mchepuko basi jitahidi uwe unaenda nunua malaya
Ukiwa nae mmoja anakuwa na nguvu sana dhidi yako na akiamua kuitumia vibaya utaisoma namba.