Jamani hiyo ni fashion, wengine wanaonesha kufuli kwa juu mpaka inavyokatika na kuingia kwenye pachupachu na wengine wanaonesha kama huyo dada, anakwambia mimi ni msafi, naweka kitu cheupe na kinabaki cheupe! Hongera sana dada, nimekukubali kwa unadhifu wako, wanawake wengine hawathubutu kuvaa chupi nyeupe namna hiyo na ikatoka swaaafi, wanajijuwa!