Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Jamaa akiwa amebeba jeneza kuutoa nje mwili wa Marehemu huku watu wote wakiwa wametawaliwa na ukimya wa majonzi ghafla simu yake ikaita kwa kawimbo "kimasomaso mwanangu msimuone".......................jamaa kuzima simu akawa anshindwa kwa sababu alikua ameshika jeneza:smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow: