Leo nimeona katika habari ya saa mbili makosa ya uandishi na si mara ya kwanza. Ni vyema waandishi wetu wawe makini zaidi ili kuonyesha weledi ktk taaluma yao. Kosa kama hili ni dogo lakini halipendezi kuonekana ktk TV..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.