Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,149
Wakati tume ikiwa inakwepa lawama, na wakati wahisiwa kadhaa wakiwapo waliokuwa viongoz wa juu wa ukawa waliosaliti chama na kuwaacha wananch wakilia kutoa maamuz wenyew ktk kumchagua rais lowasa. kaz itabak kwa kambi ya ukawa nani watamuamini kwenda kuangalia kuhesabu kura za rais,wabungu na madiwani.
Ikubukwe kuwa watanz wameapa kuchagua rais mwaka huu octoba 25,
Kwa ile ile hofu ya kuingiza watu mawakala watakao weza kununuliwa. Ni dhahili lazma kuna kila njia zitasakwa kununua watu watakao weza kupunguza kura.
NILAZIMA KULIJUA HILO MAPEMA