Umaarufu wa CHADEMA washuka

akili kidogo nguvu nyingi, unawezaje kupima umaarufu wa kisiasa kwa kutumia matukio au reactions baada ya kupima kwa nini wanafanya vile?
 
Kuna TATIZO?
Au wewe unaathirika nini na CDM kupoteza Umaarufu?
 
mabadiliko ni lazima hata kama chadema itapoteza umaarufu kiasi gani!!
 
Chama chochote cha kisiasa kinachoshiriki kwenye umwagaji damu hakikubaliki
 
Unaoongea kama mwendawazimu, maana uwezi kusema CHADEMA imeshuka umaarufu bila kuwa na research to justify your arguments. Ni mwendelezo wa ukichaa huu. Nenda kadeki barabara huko.

huu ni ukweli chadema inakaribia kuwa mfu. viongozi wake ni udhaifu katika kuiendesha chadema kama taasisi lakini mbaya zaidi wamekuwa wakikosa busara kila mara kwa kukosa lugha nzuri. upinzani bungeni umekuwa vichekesho kabisa. wameshindwa kumliza Mizengwe aliyepinda hata pale alipovunja wazi wazi katiba aliyoiahidi kuilinda. wote mnakumbuka Mizengwe iliyopinda alivyoililia nafasi yake bungeni baada ya kubanwa na upinzani makini lakini sio huu wa vurugu wa chadema. shame upon chadema
 
anayepoteza viti ndio umaarufu unaongezeka?poor thinking
 
Ni chuki tu ulizo nazo juu ya chama cha Chadema baada ya kuona kinakuwa juu kila iitwapo leo,waweza kusema vile unajisikia lakini kumbuka ukweli utabakia kuwa ukweli daima Chadema mwendo mdundo inaitwa "KAMATA MWIZI MEN!!!!".
 
CHADEMA itakufanya usitimize wajibu kwa mke/mmeo mkuu. Agenda ya sasa ni Obama lakini wewe yako ni ile ile tu CHADEMA. Pole sana
 
Kweli CCM wanaharibu hela!
Ssa na post hii upewe buku 7 kweli!
Hii ni kupewa jero tu!
 
akili kidogo nguvu nyingi, unawezaje kupima umaarufu wa kisiasa kwa kutumia matukio au reactions baada ya kupima kwa nini wanafanya vile?
hayo matukio ni kweli au si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…