kweli akili huna,yaani huwezi kukaa hatakidogo mezani na kufanya utafitiKablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki
Unaoongea kama mwendawazimu, maana uwezi kusema CHADEMA imeshuka umaarufu bila kuwa na research to justify your arguments. Ni mwendelezo wa ukichaa huu. Nenda kadeki barabara huko.
Kaka msamehe, hajui anachozungumza. Inawezekana ni mapepo ndio yamemsukuma kuandika hicho alichoandika hapo juu. Ni mapepo ndio yanamsumbua. Anahitaji kuombewa. Msamehe.
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki
Yaani kama kuna watu vilaza nawe ni mmoja wapo.
Kuna mapepo basi..!? ni njaa imepanda kichwani...!!?
wana jf samaani nauliza,UPUMBAVU ni tusi au sifa?