Umaarufu si kazi rahisi

mimi sitaki kusikiliza nyimbo za hao wasiojielewa
 
Last edited by a moderator:
eyaaa, oooo yaaa! nikiwa na miss chagga, hakika yeye nitamlinda!

basi kwangu miss chagga mrembo, nishike bega na tucheze wimbo!

wasije kusema nimekupenda sababu mi naimba!
miss chagga mrembo, ulowatosa watose na vigog..!


Hivi hapa unawafukuza ndege wanaokula mtama au unasemaje Excel maana naona kama ndege shambani kwangu wanakimbia wote na wale tumbili wanaokula mahindi baada ya kusikia sauti yako
Aise nitafute nikuajiri shambani kwangu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hivi hapa unawafukuza ndege wanaokula mtama au unasemaje Excel maana naona kama ndege shambani kwangu wanakimbia wote na wale tumbili wanaokula mahindi baada ya kusikia sauti yako
Aise nitafute nikuajiri shambani kwangu mkuu
ha ha ha ha ashindwe yeye tu
 
ha ha ha kama huna kipaji basi nenda ukawe hata mgambo wa jiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…