Umaarufu si kazi rahisi

Excel wacha kuruka bana we si ulikuwa studio juzi kati hapa kutoa single yako sijui imebuma maana hata kwenye redio mbao haisikiki
Dah kwqeli umaarufu kazi sana
 
Last edited by a moderator:
Excel wacha kuruka bana we si ulikuwa studio juzi kati hapa kutoa single yako sijui imebuma maana hata kwenye redio mbao haisikiki
Dah kwqeli umaarufu kazi sana
najifunza kumwimbia mtot mzuri miss chagga!.. koroma sasa nikuone!
 
Last edited by a moderator:
najifunza kumwimbia mtot mzuri miss chagga!.. koroma sasa nikuone!

Haki ya nani kama miss chagga ataisikiliza hiyo nyimbo atakuwa ametoka kimanzichana leo nyimbo za wabana pua kama Excel kusikilizwana mrembo kama huyo hapana aise

yani wewe nina mpango wa kukupunguza kama majani ya mkaratusi!..

We nenda tuu kachunge ng'ombe kwenu huko usivamie fani maana naona haikufai kabisa aise unaimba kwa kubana pua kihivyo na utegemee nyimbo kuuzika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…