Ulizo

Berlin

Member
Jun 27, 2014
61
41
Mimi nimesoma, private toka primary hadi advance.

Na niliomba mkopo, na chuo nikachaguliwa UDOM, na ninaenda UDOM MD, vipi mkopo nitapata au deshi kabisa. Mdhamini wangu ni baba ambaye ni mkulima
 
You'll never know that you know until you try. Jaribu kuomba mkopo ndipo utajua kama utapata au utakosa, maana wapo ambao wamesoma shule za serikali tangu vidudu na hawana wazazi lakini bado mkopo hawapati.
 
Mimi nimesoma.private toka primary hadi advance.
.
na niliomba mkopo ,na chuo nikachaguliwa udom,na ninaenda udom MD
,vipi mkopo ntapata au deshi kabisa. mdhamini wangu ni baba ambaye ni mkulima
Unaweza pata omba Mungu tu
 
Back
Top Bottom