Kuna mtoto ameomba muhas second round wakamtumia status kwenye accoujt yake kuwa not selected kwenye course alizoomba, leo anaingia kucheki ule ujumbe haupo tena, hii nini maana yake sasa kwa anayefaha au kuhisi kitu kinachoendana na hilo swala

Kama ameomba second round basically majibu hayajatoka mpaka tar07 sept....... na kama amekuta ivo kwenye dashboard yake basi itakuwa hakuchaguliwa kwa round ya 1,hivyo baada ya kufungwa kwa round ya kwanza huwa wanakariibisha re-application for the 2nd round. Hapo muulize vizuri kama alire-apply katika 2nd round kistahimiilivu.
Iko hivo,na kwa kulithibitisha hilo walitoa taarifa kwa wale waliochaguliwa awamu ya kwanza, siku ya tareh30.08 waende kwenye INTERVIEW na walienda......Hii iinaonyesha kabisa kuna suala la mchujo unapita licha ya kuwa admitted.