Kuna mtoto ameomba muhas second round wakamtumia status kwenye accoujt yake kuwa not selected kwenye course alizoomba, leo anaingia kucheki ule ujumbe haupo tena, hii nini maana yake sasa kwa anayefaha au kuhisi kitu kinachoendana na hilo swala
Muhas nafasi zimejaa ni kwamba tu hawataki kusema ukweli,hakuna aliechaguliwa second round status zote not selected
duh ishakua tabu sasa muhasIko hivo,na kwa kulithibitisha hilo walitoa taarifa kwa wale waliochaguliwa awamu ya kwanza, siku ya tareh30.08 waende kwenye INTERVIEW na walienda......Hii iinaonyesha kabisa kuna suala la mchujo unapita licha ya kuwa admitted.
Duuu atamim icho kitu kimenkuta NIT wamenamby sjawa selected lkn nilivoingia tena nkakuta ujumbe aupo tenaKuna mtoto ameomba muhas second round wakamtumia status kwenye accoujt yake kuwa not selected kwenye course alizoomba, leo anaingia kucheki ule ujumbe haupo tena, hii nini maana yake sasa kwa anayefaha au kuhisi kitu kinachoendana na hilo swala